

Show
hiyo iliyotambulika kama Vodacom Wasafi Festival ilifanyika katika
Uwanja wa Samora mjini Humo na kuhudhuliwa na mashabiki lukuki kutoka
viunga mbalimbaliu vya Mji wa Iringa.
Diamond
platnumz ndiye aliongoza jahazi hilo huku Harmonize, Rayvanny, Queen
Darleen, Q Boy Msafi na Richi Mavoko wakishambulia Jukwaa hilo bila
kusahau wasanii waalikwa ambaye alikuwa Chege Chigunda na KCEE kutoka
Nigeria wakitoa burudani ya Nguvu kwa wakazi hao wa mji wa Iringa.
Hizi ni baadhi ya Picha kutoka mahali palipofanyika Tamasha Hilo.










Blogger Comment