AFRICA MOTO:Unaambiwa Asilimia 61 ya Wanaomaliza Elimu ya Juu Tanzania ni Bongo lala...Wanauwezo Mdogo

UTAFITI: Asilimia 61 ya wahitimu wa vyuo vya elimu ya juu wana uwezo mdogo, hawawezi kushindana katika soko la ajira nchini.
Kulingana na utafiti huo imegundulika kuwa vyuo Vikuu vingi vimekuwa haviangalii ubora isipokuwa hufanya Biashara tu.

Je ni Kweli ?

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment