Ongeza Nguvu za Kiume na Stamina Kitandani Kwa Kula Ntole au Nyanya Chungu

Intole au nyanya chungu ni mboga abayo inafahamika sana miongoni mwetu na baadhi yetu tumekuwa tukiitumia katika mlo.


Leo nimeona nikuletee hizi faida mbili za matumizi ya nyanya chungu.

Intole au nyanya chungu husaidia sana katika kuongeza nguvu za uzazi kwa wanaume na inatibu pia wale wenye ugonjwa wa ngiri.

Mbali na sifa hiyo ya ntole / nyanya chungu pia husaidia kuongeza stamina na uwezo wa kuvumilia na kudumu kwenye tendo la ndoa kwa muda mrefu kati ya mume na mke wote endapo watakuwa wanatumia nyanya chungu katika utaratibu unaotakiwa kitaalam (mchemsho) .

Mbali na hayo, ngogwe ni dawa inayofanana na antibiotic, hivyo ni tunda zuri endapo likitumiwa mara kwa mara husaidia kuua vijidudu vya aina mbalimbali mwilini.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment