Yanga mabao 4-1 kufuatia mchezo wao kumalizika kwa sare ya bao 2-2.
Kipa wa Yanga, Deogratius Munish akiwa kapelekwa markiti kwa Mkwaju wa penati ulioimaliza Yanga, uliopigwa na Mchezaji wa Azam, Bolou Kipre.
Wachezaji wa Timu ya Azam, wakishangilia Ushindi wao kwa kumrusha juu juu Kocha wao.
Blogger Comment