Ureno wachukua kombe la Euro 2016 baada ya dakika 90

PHOTO COURTESY: TWITTERIlikuwa mechi ambayo ilikuwa na msisimko mkubwa na iliyojaa kila aina ya ufundi huku kila timu ikifanya mashambulizi makali.Katika mechi hiyo mshambuliaji tegemezi wa Ureno Christiano Ronaldo aliumia na kutolewa nje ya uwanja dakika ya 26 ya kipindi cha kwanza.
Wenyeji Ufaransa walimiliki mpira kwa asilimia kubwa na walifanya mashambulizi ya hatari sana
lakini bahati haikuwa kwao kwani alikuwa ni mshambuliaji Eder wa Ureno aliyepachika goli la ushindi dakika ya mia moja na kumi na tatu na kuisaidia timu yake ya taifa kuchukua kombe hilo na Ureno kutawazwa  mabingwa wapya wa EURO 2016.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment