MC Pilipili Apata Ajali Mbaya ya Gari....

MC Pilipili ametupia Picha katika Ukurasa wake wa Facebook akiwa ameandika " Nimepata Ajali mbaya ya Gari namshukuru Mungu nimetoka salama"

Baada ya Mungwana Blog kuwasiliana nae akasema kuwa Alipata Ajali usiku wa jana Saa 8 Maeneo ya Chole Road Masaki karibu na Fish Market, Aligongana na Gari ndogo IST uso kwa uso.. Dereva wa IST alikuwa kalewa.

Ndani ya Gari alikuwa na Team yake, alikuwepo Stella Secretary wake, Joseph Meneja wake, Shazymelody Rais wa Band yake ya Pilipili Band..
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment