Giggy:Bila pesa sitoi penzi

Gigy-money-(4)Stori: Boniphace Ngumije
Muuza sura kwenye video za Kibongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amefunguka kuwa kutokana na wanaume wengi wakware kupenda kuwatumia mastaa kisha kuwaumiza, anawatangazia kuwa hana mapenzi ya dhati, mwenye fedha ndiye atakayemfaidi.
Akipiga stori na gazeti hili, mwanadada huyo aliongeza kuwa amejionea na kujifunza hilo kutoka kwa mastaa wenzake.
“Mimi mwanaume akinihitaji namuuliza kama ana fedha, kama hana natupa kule,” alisema.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment