Rais
wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewaomba Watanzania wote kuutunza
na kuudumisha umoja katika mwaka 2017 huku akiwataka kufanya kazi kwa
bidii.
Rais
Magufuli amendika maombi hayo kupitia ukurasa wake wa Twitter ambapo
pamoja na kuwaomba Watanzania kutekeleza mambo hayo amewatakiwa
Watanzania heri ya mwaka mpya.
“Ombi
langu kwa Watanzania wote tuulinde,tuutunze na kuudumisha umoja wetu
ktk mwaka 2017 kwa kufanya kazi kwa bidii. MUNGU IBARIKI TANZANIA,” ameandika Rais Magufuli.
Blogger Comment