SUPER STAR JACKLINE WOLPER AONGOZA KULALA KWA WAGANGA WA KIENYEJI

Image result for wolper  Mremo mwenye Macho ya Kusinzia Jackline Wolper  Ndiye Mrembo  Maarufu  Anayeongoza  kulala na kuchangia  mapenzi  na waganga wa Kienyeji.Kutokana na Rekodi yake  Wolper Ametajwa  kuwa na Nyota  ya Mizimu kwasababu  waganga wa kienyeji wamekuwa hawapati wakati mugumu  kumbeba pale wanapomuhitaji.Wolper ni mrembo  hasa nashangaa sijui  kwanini anapenda waganga wa kienyeji au unaweza kujiuliza ni kwanini  waganga wa kienyeji 
wanampenda wolper.Shosti wa Wolper  akiongea  alisema kuwa anawajua  wanaume saba ambao ni Waganga wa Kienyeji waliowahi kutoka na Wolper,tena si mara moja  bali kwa kitambo fulani.Pamoja na wembe kutajiwa orodha ya wanaume  wote saba ambao ni waganga wa kienyeji  kwa leo lina weza kuwataja watatu kisha wengine  tutawataja matoleo yajayo.Wa kwanza ni lau kutoka Mwanza huja dar kwajili ya shuguli zake za uganga,Mganga mwingine ni Fadhilna wa Mwisho kutoka Nchi jirani ya Kidemkokrasia ya Kongo 


chanzo  wembe
20160908_050709
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment