Diamond anaendelea kutamba na ngoma yake "KIDOGO" ambayo imezidi kutamba katika vituo mbalimbali vya radio na television ndani na nje ya nchi.Lakini ukitazama ngoma ya wanadada Charly na Nina inayoitwa INDORO toka nchini Rwanda hautachoka kuitazama huku ikiwa imefikisha views milioni moja kwa muda mfupi sana youtube na kuwa wimbo wa kwanza kutoka nchini humo kufikisha idadi hiyo kubwa ya mashabiki kwa nyimbo za ndani "local track".
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Blogger Comment