
Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema) Tundu Lissu amesema wakati wa utawala wa awamu ya nne ya utawala wa Kikwete walikuwa wanapambana na rushwa,ufisadi,utawala wa sheria,,misingi ya haki na katiba mpya.Lakini sasa tumepata kitu kipya kwamba mtu mmoja neno lake la mdomoni ndiyo sheria.
Aliongeza kuwa huyu raisi wa sasa hivi ambaye ni mrithi wa Kikwete anataka kuturudisha nyuma miaka hamsini iliyopita wakati wa utawala wa chama kimoja na wakati wa marehemu Sokoine.
Aliongeza kuwa mikutano ya hadhara itakayofanyika kuanzia tarehe moja mwezi wa tisa itafanyika kwa mujibu wa sheria na wataomba vibali masaa arobaini na nane kabla ya mikutano hiyo.MSIKILIZE HAPA CHINI.....
Blogger Comment