SOMA KISHA CHEKI VIDEO HUTAAMINI:MAAJABU YA TIMU YA WANAWAKE WA MAREKANI OLYMPIC JANA MJINI RIO BRAZIL

Timu ya wanawake ya Marekani ya Gymnastics inayoshiriki mashindano ya Olympic yanayoendelea mjini Rio nchini Brazili imefanya maajabu baada ya kuonyesha ujuzi wa hali ya juu katika mchezo huo na kupelekea walembo watano kufuzu kwenda raundi inayofuata.
Katika mchezo huo ulioshirikisha nchi mbalimbali duniani alikuwa ni mwanadada Simone Biles wa USA aliyeweka rekodi kwa kuibuka kinara kwa pointi 15.733 akifuatiwa na wenzake wanne.
Timu hiyo ya Marekani ilijikusanyia jumla ya pointi 185.238 na kumaliza pointi 10 mbele ya nchi ya China ambao walikuwa washindi wa pili.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment