Mkali huyo wa Aje siku moja baadaye alitumbuiza mbele ya mashabiki takriban 15,000 kwenye uwanja wa Mama Ngina Drive mjini Mombasa, Kenya, mbele ya gavana, Hassan Ali Joho.Lilikuwa ni tamasha kubwa la Mombasa International Cultural Festival ambapo kundi la Sauti Sol pia lilitumbuiza. Hizi ni picha zaidi.
Home / ENTERTAINMENT
/ SHOW ALIYOPIGA ALI KIBA MJINI MOMBASA MBELE YA GAVANA ALI JOHO ILIYOJAZA WATU ZAIDI YA 15000
Blogger Comment