
Hii ni aibu kubwa kwa Taifa letu.Kila siku kumekuwa na mambo hewa kila kukicha,mara Wafanyakazi hewa,wanafunzi hewa na sasa kubwa zaidi ni hili la sasa ambapo wanavyuo wengi waliosajiliwa katika vyuo mbalimbali nchini wana vyeti feki kiasi ambacho huwezi kuamini.TAZAMA ORODHA HAPA CHINI inayoonyesha majina zaidi ya wanafunzi hewa wenye vyeti feki kwenye kila chuo... LIST OF FAKE STUDENTS IN EACH COLLEGE
Blogger Comment